Timu mbalimbali zimeanza kuwasili Tanzania kuelekea kwenye mashindano ya Cecafa kwa Wanawake yatakayoanza Novemba 16-25,2019 Dar es Salaam. Tayari timu za Burundi na Djibout zimetua jana Jumanne na kuelekea kwenye …
Tag: