Mlinda mlango wa Polisi Tanzania Metacha Mnata ametangaza rasmi kuachana na wakala wake wa muda mrefu Jemedari Said hii leo kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Instagram. …
yangasc
-
-
Mabingwa wa kihistoria nchini Yanga sc wamemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji wa zamani wa Azam fc Salum Abubakar ‘sure boy’ ikiwa ni kama zawadi kwa mashabiki,wanachama na wapenzi wa klabu hiyo …
-
Imeelezwa kwamba klabu ya Yanga sc imeanzisha mazungumzo na klabu ya Biashara United kuhusu kumsajili winga Dennis Nkane ambaye anahitajika klabuni hapo kwa mapendekezo ya kocha Nasredine Nabi ili kuimarisha …
-
Taarifa za ndani zinadai kuwa tayari kiungo Abubakari Salum maarufu kama Sure boy tayari amemalizana na mabosi wa klabu ya Yanga sc huku ikisubiriwa kutangazwa rasmi kwa dili hilo. Awali …
-
Mchezaji wa zamani wa Yanga Sc, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21 baada ya kuagana na kikosi cha Yanga …
-
Straika wa Simba Sc ,Meddie Kagere yuko hatarini kuikosa mechi ya watani wa jadi dhidi ya Yanga Sc kutokana na majeraha yanayomsumbua yatakayomfanya kukaa nje ya uwanja kwa takribani wiki …
-
Cedric Kaze ambaye ni kocha mkuu wa Yanga Sc tayari ameshaanza kazi ya kukinoa kikosi hicho cha Jangwani ambacho Novemba 22,kitavaana na Polisi Tanzania uwanja wa Mkapa. Kocha huyo aliyesaini …
-
Uongozi wa Yanga Sc leo Oktoba 16, umemtambulisha rasmi Cedric Kaze,kama kocha mkuu wa klabu hiyo ambaye alitua hapo jana usiku akitokea nchini Canada. Kaze amesaini mkataba wa miaka miwili …
-
Cedric Kaze yuko njiani kutua Tanzania leo Octoba 15,kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya ndani ya kikosi hicho cha Yanga Sc. Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amethibitisha …
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …