Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) limemfungia miezi sita na kumpiga faini ya Tsh. 500,000 Kocha wa timu ya Miembeni, Suleiman Mohamed kwa utovu wa nidhamu. Kocha huyo alishangilia …
zanzibar
-
-
Aliyekuwa mlinzi wa Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amerejea visiwani Zanzibar baada ya klabu ya LA Galaxy kusitisha mkataba wake imefahamika Aidha Wakala wa mchezaji huyo amesema pia klabu ya MFK …
-
Timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imetoka sare na timu ya taifa ya Sudan katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya chalenji uliochezwa katika uwanja wa KCCA nchini Uganda …
-
Baada ya kutupwa nje ya mashindano ya Cecafa wanawake 2019 Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Queen’s Mohammed Ally salah amesema kuwa kitendo cha kikosi chao kuruhusu magoli …
-
Timu ya taifa ya wanawake ya Zanzibar Queens wamefungwa jumla ya magoli 5-0 na timu ya taifa ya Sudan kusini katika michuano ya Cecafa kwa wanawake inayoendelea nchini. Mchezo huo …
-
Timu ya soka ya vijana ya Tanzania (ngorongoro heroes) imeifunga timu ya vijana ya Zanzibar kwa mabao 5-0 katika michuano ya chalenji inayoendelea nchini Uganda. Mshambuliaji Kelvin John “Mbappe” alipeleka …
-
Timu ya Yanga sc leo jioni itashuka uwanjani kucheza na timu ya Mlandege ya visiwani Zanzibar katika maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Mwandege …