Cedric Kaze yuko njiani kutua Tanzania leo Octoba 15,kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya ndani ya kikosi hicho cha Yanga Sc. Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amethibitisha …
Tag:
zlatico
-
-
Taarifa zinaeleza kuwa kocha mkuu,Cedric Kaze ndiye ambaye atarithi mikoba ya Zlatico Krmpotic ambaye alifutwa kazi rasmi Oktoba 3. Zlatico alikiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi 8 ambapo katika hizo …
-
Kocha mkuu mpya wa Yanga Sc,Zlatko Krmpotic amepewa majukumu makubwa kwenye mkataba wake ambayo anatakiwa kuyatekeleza katika msimu unaoanza leo Septemba 6. Taarifa zinaeleza kuwa kwenye mkataba wa kocha huyo …
-
Yanga Sc imemtambulisha kocha mpya,Zlatico Krmpotick kama kocha mkuu wa kikosi hicho akibeba mikoba ya Luc Eymael alifukuzwa kazi kwa kosa la ubaguzi. Zlatiko anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa …