Uongozi wa Yanga Sc umefikia makubaliano ya kumfuta kazi kocha mserbia,Zlatko Krmpotic jana Octoba 3,ambaye alichukua mikoba ya Luc Eymael. Zlatko amekiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi tano za ligi …
Tag:
Zlatko
-
-
Kocha mkuu Yanga Zlatko Krmpotic amekuwa akiwahimiza wachezaji wake kupiga mashuti makali wanapokaribia katika lango la wapinzani. Katika kulithibitisha hilo timu hiyo imeanza majatibio ya kupiga mashuti hayo kwenye mchezo …