Home Soka Breaking News..Straika Mbrazili Asaini Simba

Breaking News..Straika Mbrazili Asaini Simba

by Sports Leo
0 comments

Baada ya jana kukamilisha usajili wa kiungo kutoka Sudan,Klabu ya Simba sc hivi leo imekamilisha usajili wa mshambuliaji kutoka nchini Brazil Wilker Henrique Da Silva kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika timu ya Bragantino ya nchini humo.

Wilker mwenye miaka 23 amesajiliwa na timu hiyo kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu pamoja na michuano ya kimataifa ambayo Simba sc itashiriki.

Mchezaji huyo amecheza timu kadhaa nchini humo kama Betafogo,Cruzeiro na Ponte preta na nyingine nchini humo ambapo katika timu hizo alikaa kwa kipindi kifupikifupi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited