Home Soka Ngorongoro Yatinga Fainali Chalenji

Ngorongoro Yatinga Fainali Chalenji

by Sports Leo
0 comments

Timu ya vijana ya Tanzania Bara (Ngorongor Heroes) imefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Sudan katika michuano ya vijana ya Chalenji inayoendelea nchini Uganda.

Mabao ya Ngorongoro yalipatikana kupitia kwa Patrick Mwenda dakika ya 39′ na Kelvin John dakika ya 45′ huku lile la Sudan likifungwa na Mohamed Abasi.

Ngorongoro sasa itakutana na Kenya katika mchezo wa fainali baada ya Kenya kuwafunga Eritrea kwa jumla ya mabao 1-0 katika michuano hiyo inayofanyika nchini Uganda.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited