Lebo: cecafa
16 Kushiriki Kagame Cup
Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza kwamba klabu 16 zitashiriki michuano ya Kagame Cup inayotarajiwa kuanza Julai 6 hadi 22 mwaka huu Visiwani Zanzibar. Katika Taarifa iliyotolewa kwenda kwa umma na Cecafa imeonyesha kwamba katika michuano ya mwaka huu jumla ya timu 16 zitashiriki huku timu za TP…
