Home Soka Man Utd,Liverpool Zatinga Robo Fainali

Man Utd,Liverpool Zatinga Robo Fainali

by Sports Leo
0 comments

Timu za Manchester United na Liverpool zimeshinda michezo yao ya jana katika michuano ya Carabao na kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.

United imeungana na Liverpool baada ya timu zote kushinda michezo ya jana dhidi ya Liverpool na Chelsea ambapo mabao ya Marcus Rashford ya Penati na faulo yaliipa united nafasi hiyo huku Liverpool ikilazimishwa sare ya mabao 5-5 na Arsenal na mchezo kuamliwa kwa njia ya penati ambpo liverpool alishinda kwa penati 5-4.

Timu hizo zinaungana na timu za Leicester city,manchester city,Aston Villa,Everton na Oxford pamoja na Colchester ambapo droo maalumu itapangwa.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited