Home Soka Salah Kuwakosa Kenya

Salah Kuwakosa Kenya

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji wa timu ya Liverpool fc Mohamed Salah ataikosa michezo ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika(Afcon) dhidi ya Kenya na Comoro kufuatia kaundamwa na majeraha aliyoyapata wakati akiitumikia timu ya Liverpool.

Salah ataikosa michezo hiyo ya timu ya taifa baada ya kuwa na majeraha ya enka aliyoyapata wakati wa mchezo wa ligi kuu dhidi Man city baada ya kugongana na Fernandinho dakika ya 87 na alijiunga na timu ya taifa lakini ilibainika anahitaji muda wa matibabu.

“Mchezaji alikuja kambini Jumanne jioni akawa chini ya uangalizi hata alipokuwa akifanya mazoezi uwanja  wa Burj Al Arab alikuwa kwenye uangalizi,” ilisema taarifa hiyo

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited