Home Soka Ulimwengu Arejea Mazembe

Ulimwengu Arejea Mazembe

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo imetangaza kumsajili Winga wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu kwa mkataba wa miaka miwili Kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake na Klabu ya JS Saoura ya Algeria.

Ulimwengu aliondoka TP Mazembe mwaka 2016 kwenda kujaribu bahati yake barani Ulaya (Sweden na Bosnia) na mwaka 2018 alirejea tena Afrika na kujiunga na Al Hilal ya Sudani baadae December 2018 alijiunga na JS Soura ya nchini Algeria.

Staa huyo alijiunga na Mazembe Agosti 31,2011 huku akifanikiwa kufunga bao katika mechi yake ya kwanza dhidi ya Don Bosco Fc ya nchini Humo.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited