Home Soka Arsenal Wakubali Yaishe

Arsenal Wakubali Yaishe

by Sports Leo
0 comments


Klabu ya Arsenal wameunga mkono maamuzi yaliotolewa na EPL. Maamuzi hayo yaliamuru ligi kumalizika pasipo kuahirisha msimu, ila ligi zitarejea kama hali itaruhusu.

Leo katika kikao kiliamuru kuwa ligi zote Premier league, EFL, FA Women’s Super League na FA Women’s Championship zitasimamishwa kwa muda usiojulikana na zitarejea tu pale ambapo hali ya usalama wa janga la Corona litakapo ruhusu.

Taarifa kutoka Arsenal ilisema “Tunaunga mkono kwa kukubali maamuzi ya kumaliza michezo yote ya ndani na msimu mzima wa 2019/20, hii itasaidia kuleta usawa katika kila mashindano. Pia tunakubaliana na maamuzi ya kurejea kwa MASHINDANO yote pale tu hali itakapo ruhusu.”

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited