Home Makala Real Ilipofungwa Na Baryen ,Mourinho Alilia

Real Ilipofungwa Na Baryen ,Mourinho Alilia

by Sports Leo
0 comments

Kocha mkuu wa Tottenham Hotspurs,Jose Mourinho amesema kuwa alilia sana baada ya Real Madrid kufungwa na Bayern Munich katika mechi ya nusu fainali ya kuwania kombe la ligi ya Mabingwa wa Ulaya 2012.

Mourinho alisema hayo katika mahojiano na gazeti la michezo la Hispania,Maka kuwa usiku ule ndio wakati pekee  aliwahi kulia .

“Nakumbuka vizuri sana mimi na Aitor Karanka ambaye alikuwa msaidizi wangu ,tuliegesha gari mbele ya nyumba yangu tuukilia,hali ilikuwa ngumu sana kukubali kipigo hicho kwa sababu msimu huo wa mwaka 2011-2012 tulikuwa timu bora  Ulaya.

banner

Jose Mourinho alitaka kushinda Ligi ya England ,Italia na Hispania ,ila bado ni kocha pekee mwenye mafanikio hayo.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited