Home Soka Chama Aitwa Chipolopolo

Chama Aitwa Chipolopolo

by Dennis Msotwa
0 comments

Kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama ameitwa katika timu ya Taifa ya Zambia(Chipolopolo) inayojiandaa na mchezo wa wa kufuzu Afcon ambapo itamenyana na Botswana, Novemba 12 nchini Zambia.

Kiungo huyo Maestro hakuitwa kwa mara ya kwanza katiko orodha iliyotangazwa na kocha Micho lakini kukosekana kwa kiungo Enock Mwepu anayeichezea Redbull Salzburg ambao wachezaji wake baadhi wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona hivyo kiungo huyo kuwekwa karantini.

Chama Kiungo amekuwa kwenye ubora ndani ya Bongo kwa msimu wa 2020/21 akiwa na pasi tano za mabao pamoja na kufunga mabao mawili.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited