Screenshot 20241002 151607 Instagram

Chama,Musonda Waitwa Chipolopolo

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Clatous Chama na mshambuliaji Kennedy Musonda wa wameitwa kwenye Kikosi cha timu ya taifa ya Zambia(chipolopolo) kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2025. Zambia watacheza dhidi ya CHAD mchezo wa kwanza ni Oktoba 11 nyumbani nchini Zambia na mchezo wa marudiano…

Soma Zaidi
208326924

Stars Yainyuka Zambia

Bao pekee la Waziri Junior dakika ya 5 ya mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani,Canada na Mexico limeipata timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) alama tatu muhimu katika mchezo dhidi ya Zambia uliofanyika katika uwanja wa Levy Mwanawasa Ndola nchini Zambia. Waziri alifunga bao hilo akipokea pasi nzuri ya…

Soma Zaidi
781f4d449005820870066bbbda156326422f282b scaled

Chama Atemwa Chipolopolo

Kocha wa timu ya Taifa ya Zambia Avram Grant ameamua kumtema kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama katika kikosi cha wachezaji watakaojiunga na kambi ya timu hiyo kujiandaa na michezo ya kimataifa dhidi ya Tanzania na Morroco. Kikosi cha wachezaji 27 kimeitwa kwa ajili ya michezo miwili ya Juni 7 na 11 kuwania…

Soma Zaidi
421161299 950071043148146 537070205290518344 n

Stars Hali Tete Afcon

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinakabiliwa na wakati mgumu kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast hasa baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Zambia katika mchezo wa raundi ya pili ya kundi F. Katika mchezo huo Stars tayari walishauchukua baada ya kuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks