Chama Aibeba Simba SC Katika Mbio za Ubingwa wa NBC Premier League

Chama Asaini Miwili Simba SC? Habari Kubwa Yazua Furaha Msimbazi Kabla ya Coastal Union

Chama asaini miwili Simba Sc baada ya taarifa kueleza kuwa kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama amekubali kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Simba SC hadi mwaka 2028. Chama Asaini Miwili Simba SC? Furaha Yatawala Msimbazi Kabla ya Mechi ya Coastal Union Taarifa zinazotoka ndani ya klabu ya Simba SC zimeibua msisimko mkubwa miongoni…

Soma Zaidi
450103605 1040571670762097 3102526513045878564 n

Chama Aripoti Kambini Yanga Sc

Staa mpya wa klabu ya Yanga sc Cletous Chama hatimaye ameripoti kambini Avic Town na kuanza mazoezi na mastaa wapya wa klabu hiyo kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu baada ya kukamilisha usajili wake kutokea Simba sc. Chama aliungana na mastaa wengine akiwemo Pacome Zouzoua katika mazoezi ya jioni wakianza na gym iliyopo kambini…

Soma Zaidi
chama pc

Chama Atambulishwa Yanga sc

Mapema asubuhi ya leo klabu ya Yanga sc imemtambulisha kiungo mshambuliaji Cletous Chama kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo akijiunga kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine akiwa huru baada ya kumaliza mkataba na klabu ya Simba sc. Awali taarifa za Chama kujiunga na Yanga sc zilikua nyingi huku ikisemekana kuwa Simba…

Soma Zaidi
chama v Mukoko

Chama Anukia Yanga Sc

Kiungo Cletous Chama anaweza kujiunga na klabu ya Yanga sc wakati wowote kuanzia sasa baada ya kukubaliana maslahi binafsi na klabu hiyo huku mpaka sasa mazungumzo yake na klabu ya Simba sc yakiwa hayajafikia muafaka wa kuendelea klabuni hapo. Mpaka sasa licha ya kukubaliana na Yanga sc kuhusu mshahara na dau la usajili bado kiungo…

Soma Zaidi
781f4d449005820870066bbbda156326422f282b scaled

Chama Atemwa Chipolopolo

Kocha wa timu ya Taifa ya Zambia Avram Grant ameamua kumtema kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama katika kikosi cha wachezaji watakaojiunga na kambi ya timu hiyo kujiandaa na michezo ya kimataifa dhidi ya Tanzania na Morroco. Kikosi cha wachezaji 27 kimeitwa kwa ajili ya michezo miwili ya Juni 7 na 11 kuwania…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks