Home Soka Yanga SC mikononi mwa Rivers United klabu bingwa

Yanga SC mikononi mwa Rivers United klabu bingwa

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya soka ya Yanga imepangiwa kukutana na klabu ya soka ya Rivers United ya Nigeria katika hatua za awali za mtoani wa michuano ya klabu bingwa barani Afrika.

Wananchi hao wataanzia nyumbani Dar es salaam katika mchezo wa kwanza unaotarajiwa kufanyika kati ya tarehe 10-12 mwezi Septemba kabla ya kurudiana nao huko Nigeria kati ya tarehe 17-19 Septemba.

Wawakilishi wengine wa Tanzania Azam Fc wamepangwa na Horseed ya Somalia huku Biashara United ikipangwa dhidi ya Fc Dikhil ya Djibout katika michuano ya kombe la sirikisho barani Afrika.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited