Home Makala Hussein Abel Mbioni Kutemwa Simba Sc

Hussein Abel Mbioni Kutemwa Simba Sc

by Dennis Msotwa
0 comments

Klabu ya Simba sc ipo katika mipango mikali ya kusuka kikosi cha msimi ujao ambapo baada ya kumaliza msimu wakiwa katika nafasi ya pili ambapo Kipa Hussein Abel mbioni Kutemwa Simba Sc kutokana na uwezo wake kutoridhisha tangu amejiunga na klabu hiyo mwanzoni mwa msimu huu ulioisha.

Mabosi wa Simba wapo katika mchakato wa kutafuta kipa mwingine ambae atakuja kuziba nafasi ya kipa huyo  msimu ujao na taarifa za awali zinaripoti kuwa wapo katika hatua nzuri za kunasa saini ya Kipa wa JKT Tanzania.

Abel alijiunga na Simba Sc akitokea klabu ya Tanzania prisons ya jijini Mbeya na wakati huu kuna vilabu kadha ambavyo vimeanza kuonyesha nia ya kuhitaji saini yake kwa ajili ya msimu ujao.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited