Home Makala CAF yaghairisha CHAN 2020

CAF yaghairisha CHAN 2020

by Sports Leo
0 comments

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza kuvunjwa kwa kambi ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars)  iliyokuwa ikijiandaa na mashindano ya CHAN 2020.

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kusimamisha michezo hiyo na shule zote kufungwa kuanzia awali hadi kidato cha sita mapema leo mchana kwa muda wa siku 30.

Etieme Ndayiragije ambaye ni kocha mkuu wa Taifa Stars amethibitisha kuvunjwa kwa kambi hiyo hadi hali itakapokuwa Shwari.

banner

“Hakuna jinsi inabidi tujihadhari na virusi vya Corona kwani serikali imeshaamua na ugonjwa huu ni hatari sana kwa Afya zetu na dunia nzima kiujumla “alisema Etieme

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited