Chama Atwaa Tuzo Fainali FA
previous post
Nyota wa kikosi cha Simba,Clautos Chama amekabidhiwa leo tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya Kombe la Shirikisho.
Simba imetwaa taji mbele ya Namungo FC kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye mchezo wa kibabe uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga.
mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.