Home Makala Fainali Ligi Ya Mabingwa Ulaya,Ni Shidaaa!

Fainali Ligi Ya Mabingwa Ulaya,Ni Shidaaa!

by Sports Leo
0 comments

Fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya kati ya mabingwa wa Ufaransa Pari Saint German(PSG )dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich ni kesho Agosti 23 majira ya saa nne usiku.

Timu zote zinasaka rekodi zao kwani ikitokea Bayern Munich ikatwaa ubingwa itaweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kutwaa taji hilo bila kupoteza mchezo wowote huku PSG ikiwa itatwaa ubingwa huo itakuwa ni mara yake ya kwanza.

PSG ilitinga hatua ya fainali kwa kuitungua RB Leipzing mabao 3-0 huku Bayern Munich nao wakiwatungua Lyon mabao hayohayo matatu.

banner

 

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited