Home Makala Kocha Juventus Afungashiwa Virago

Kocha Juventus Afungashiwa Virago

by Sports Leo
0 comments

Juventus imethibitisha kuachana na kocha mkuu , Maurizio Sarri baada ya kudumu kwa msimu mmoja ndani ya klabu hiyo.

Sarri ndani ya msimu wa 2019/20 alifanikiwa kutwaa taji la Serie A ila kilichopelekea kutimuliwa kwenye klabu hiyo ni kutokana na kuishia hatua ya 16 bora  kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Pia kupoteza mbele ya Lyon kwenye mchezo wa usiku wa jana kuamkia leo kumewakasirisha zaidi mabosi wa Juventus kwani walifungwa mabao 2-1 na kuwapa nafasi Lyon ya kusonga mbele hatua ya nusu fainali kwa faida ya bao la ugenini.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited