Ligi ya mabingwa inaendelea leo ambapo watetezi wa ligi kuu England,Liverpool itavaana na Ajax majira ya saa 4:00 usiku uwanja wa Johan Cruijff Arena.
Huu ni mchezo wa aina yake katika ulimwengu wa soka ambapo unatukumbusha mwaka 1966 walipokutana na hawajawahi kukutana tena mpaka sasa.
Ajax ni miamba ya soka nchini Uholanzi na leo Oktoba 21,watawakaribisha miamba ya soka la Uingereza,Liverpool.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Liverpool inakwenda kukutana na Ajax kwenye mchezo huu bila mlinzi wao hodari Virgil Van Dijik na golikipa wa Alisson Becker, japo bado wanaonekana kuwa tishio kwa Ajax kwani hawajawahi kuifunga Liverpool mara mbili tangu walipokutana.