Home Makala Liverpool Yakaziwa Kwa Lewis

Liverpool Yakaziwa Kwa Lewis

by Sports Leo
0 comments

Liverpool ambao ni mabingwa wa ligi kuu England wamekutana na ukuta wa kumpata beki wa Norwich City,Jamal Lewis baada ya thamani yake kuwa kubwa kuliko waliyoiweka mezani.

Dau ambalo Liverpool wameliweka mezani ni pauni milioni 10 huku Norwich wakihitaji kupewa pauni milioni 20 jambo ambalo linawafanya Liverpool kuwa kwenye ugumu wa kuipata saini ya beki huyo.

Malengo makubwa ya Klopp ni kumpata msaidizi wa beki wake Andy Robertson ili awe na kikosi kipana ambacho kitaendeleza ushindani ndani ya ligi kuu ya England ambayo ina ushindani mkubwa.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited