Home Makala Mabingwa Kutangazwa Wiki Ijayo Scotland

Mabingwa Kutangazwa Wiki Ijayo Scotland

by Sports Leo
0 comments

Shirikisho la soka Scotland (SPFL) linatarajia kufanya maamuzi wiki ijalo ili kuhitimisha msimu wa ligi 2019/20 wa Ligi kuu nchini humo (Scottish Premiership) kutokana na janga la Corona.

Vilabu vyote 12 vya ligi hiyo vilifanya mkutano siku ya jana Ijumaa, pamoja na SPFL ili kujadili kuhusu hilo la kuhairisha ligi kuu kutokana na Covid-19 na badala yake mabingwa watangazwe.

Kutokana na Celtic  Fc kushika nafasi ya kwanza kwenye ligi kuuya Scotland ikiwa na pointi 7o huku Hearts ikishika mkia kwa pointi 20 ikipishana alama moja na Hemillton Academical,kuna uwezekana mkubwa kwa klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Scotland msimu huu wa 2019/2020

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited