Home Makala Madrid Wapigwa Nyumbani

Madrid Wapigwa Nyumbani

by Sports Leo
0 comments

Manchester City imejipatia ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Real Madrid katika mchezo wa Jana uliochezwa uwanja wa Estadio Santiago Bernabeu ukisimamiwa na refa kutoka Italy, Daniele Orsato.

Real Madrid walianza kujipatia bao la kwanza dakika ya 60 kupitia Isco huku bao la kusawazisha kutoka Manchester City lilitoka kwa Gabriel Jesus dakika ya 78.

Dakika ya 83 Kevin De Bruyne aliipatia Manchester City bao la pili kupitia penalti aliyopewa na mwamuzi kutoka lango la adhabu.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited