Baada ya kupata ushindi wa mabao 6-2 dhidi ya Primera de agosti ya nchini Angola katika mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho uliofanyika katika uwanja wa Chamazi sasa timu hiyo imewekwa katika kundi la kifo endapo itafuzu kuingia hatua ya makundi.
Iko hivi licha ya timu hizo kubakisha mchezo mmoja wa marudiano,Shirikisho la soka barani afrika limetoa kabisa orodha ya makundi ya timu hizo yalipangwa hivi leo na endapo namungo atafuzu basi ajindae kukutana na waarabu katika mechi nne kati ya sita.
Makundi kamili haya hapa…
















