Kocha mkuu wa Simba Sc amesema kuwa miongoni mwa msosi anaopenda kula ni samaki wale wa bahari ya hindi kwa kuwa wana ladha ya kipekee.
Sven ameongoza mechi 18 ndani ya klabu ya Simba baada ya kupokea mikoba ya Patrick Aussems ambaye alipigwa chini baada ya kuongoza mechi 10 za ligi.
“Ninapenda kula samaki wa bahari ya hindi kwani ni wazuri na watamu hivyo nimekuwa nikipenda kula mara nyingi tangu nifike Tanzania,” Sven Vandenbroeck