Home Makala Tanzia-Agogo Afariki

Tanzia-Agogo Afariki

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya ghana Junior Agogo amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu.

Staa huyo aliyeichezea ghana jumla ya mechi 27 za mashindano na kufanikiwa kufunga mabao 12 amefariki leo alhamisi baada ya kulazwa hospitali kwa muda mrefu akisumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi toka mwaka 2014.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited