Leo Agosti Mosi, Yassin Mustapha amesaini dili jipya la kuitumikia Yanga akitokea Polisi Tanzania iliyokuwa ikinolewa chini ya Malale Hamisi.
Yassin Mustapha anakuwa ni wa tatu kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga, wa kwanza akiwa ni Zawadi Mauya kutoka Kagera Sugar akifuatiwa na Bakari Mwamnyeto kutoka Coastal Union.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.