Yanga Sc imemtambulisha kocha mpya,Zlatico Krmpotick kama kocha mkuu wa kikosi hicho akibeba mikoba ya Luc Eymael alifukuzwa kazi kwa kosa la ubaguzi.
Zlatiko anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa amepewa dili la miaka miwili kuinoa klabu ya Yanga baada ya kamati kujadili na kupitia majina ambayo walikuwa nayo na kumuona kuwa anafaa kufundisha klabu yao.
Kocha huyo amewahi kuwa bingwa wa klabu ya Afrika wakati akiifundisha TP Mazembe na Polokwane City.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.