Home Soka Bayern Wachimbia Kileleni

Bayern Wachimbia Kileleni

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Bayern Munchen imezidi kujihakikishia kutwaa taji la nane mfululizo la Bundasliga baada ya kuifunga Borrussia Monchengladbach 2-1 mabao ya Leon Goretzka na Benjamin Pavard.

Goretzka alifunga bao la dakika ya 86 akiunganisha krosi ya Benjamin Pavard na kupelekea ushindi wa 10 mfululizo kwa kocha Hansi Flick huku ushindi katika mechi ijayo siku ya Jumanne dhidi ya werder Bremen utaihakikishia timu hiyo kutwaa taji kwa mara ya nane mfululizo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited