Home Soka Kali Anukia Yanga,Mkwasa Apewa U-bosi

Kali Anukia Yanga,Mkwasa Apewa U-bosi

by Sports Leo
0 comments

Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga sc zinadai baada ya kumalizana na kocha Luc Aymael kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo na pia kumpata kocha wa Viungo Riedoh Berdien,Timu hiyo ipo mbioni kumchuku Kally Ongara kama kocha msaidizi.

Zilizovuja leo ni kuwa uongozi wa klabu ya Yanga huenda utamtangaza Kally Ongara kuwa kocha msaidizi baada ya Kocha Mkuu Luc Eymael kuomba atafutiwe kocha msaidizi mwingine badala ya Charles Mkwasa

Hata hivyo Mkwasa kutokana na ukaribu wake na klabu hiyo anatarajiwa kupewa cheo cha mkurugenzi wa ufundi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited