Home Soka Karata ya Mwisho

Karata ya Mwisho

by Sports Leo
0 comments

Timu ya Chelsea imepewa nafasi ya kusikilizwa kwa rufaa yao ya kufungiwa kufanya usajili kwa madirisha mawili na shirikisho la soka duniani na rufaa hiyo itasikilizwa novemba 20 mwaka huu.

Klabu hiyo ilifungiwa kufanya usajili baada ya kukiuka taratibu za usajili baada ya kusajili vijana wadogo bila kufuata utaratibu na kisha kuanza kuwatumia.

Kocha Frank Lampard amejitahidi kutumia vijana wadogo waliokuwa kwa mkopo katika vilabu vingine na kuwarudisha klabuni hapo ili kuhakikisha timu hiyo inarejea hivyo endapo itashinda rufaa hiyo basi timu hiyo itafanya usajili mwezi januari.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited