Home Soka Mashabiki England waomba mapumziko

Mashabiki England waomba mapumziko

by Sports Leo
0 comments

Mashabiki wa timu ya Taifa ya England zaidi ya 100,000 wamesaini petition ya kuitaka serikali ya nchi hiyo kuifanya Jumatatu ya Julai 13 kuwa siku ya mapumziko endapo watashinda ubingwa wa michuano ya euro 2020.

England inatarajiwa kumenyana na timu ya Taifa ya Italia katika mchezo wa fainali utakaofanyika katika dimba la Wembley.

Hii ni mara ya kwanza kwa England kucheza fainali ya michuano na Ero na ni mara ya kwanza toka mwaka 1966 kucheza fainali ya michuano mikubwa inayohusisha timu za Taifa, hivyo Waingereza wanaona ni fursa kwao kusheherekea endapo watashinda katika mcezo huo wa fainali Jumapili ya tarehe 12 Julai.

banner

 

 

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited