Home Soka MEDDIE KAGERE AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO

MEDDIE KAGERE AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO

by Sports Leo
0 comments


NYOTA wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio kwenye soka ni kujikubali yeye mwenyewe na kujipa changamoto yeye mwenyewe.
Kagere ni mfungaji bora wa msimu huu kwenye ligi kuu akiwa ametupia jumla ya mabao 23 ana tuzo mbili mkononi ya mfungaji bora wa mwaka na mchezaji bora wa mwaka ndani ya klabu ya Simba aliyopewa kwenye tuzo za Mo.
"Najikubali mwenyewe na kujipa changamoto mimi mwenyewe, siangalii wengine wamefanya nini ama wanasema nini kikubwa napambana kwa kushirikiana na wachezaji wenzangu," amesema Kagere.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited