Kocha Msaidizi wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Mgunda, amewataka Watanzania kutokata tamaa na timu yao na badala yake kuendelea kuisapoti hasa wakati wa michezo ya kimataifa.
Kauli ya Mgunda imekuja ikiwa ni siku chache baada ya kikosi hicho kurejea jijini Dar kikitokea Cameroon kwenye michuano ya CHAN ambapo timu hiyo ilishia hatua ya makundi.
“Watanzania wawe na subira, ipo siku tutafanya vizuri. Kikubwa waendelee kutupa sapoti”
Cc:Kibezedon