Home Soka Morrison Aaga Yanga sc

Morrison Aaga Yanga sc

by Sports Leo
0 comments

Mchezaji wa timu ya Yanga sc Benard Morisson amegoma kupanda basi la timu na badala yake alilazimika kuchukua boda boda na kuondoka uwanjani mara baada ya kufanyiwa mabadiliko katika mchezo wa watani wa jadi.

Morrison aliyetolewa kipindi cha pili na nafasi yake kuchukuliwa na Patrick Sibomana alionesha kukasilishwa baada ya kutolewa kipindi cha pili na badala ya kukaa kwenye benchi aliamua kupitiliza na kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo huku akiwapungia mkono ishara ya kuwaaga mashabiki wa klabu hiyo ambao walikua wakimzomea.

Hata hivyo kabla yamechi hiyo kuisha staa huyo alionekana akiwa pamoja na marafiki zake akiondoka uwanjani hapo huku akiwa amefura kwa hasira.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited