Home Soka Mwakalebela Afikishwa Korokoroni

Mwakalebela Afikishwa Korokoroni

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Simba sc imemshtaki makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga David Mwkalebela kufuatia kauli yake aliyoitoa kuwa klabu ya Yanga imeanza mazungumzo na mchezaji wa Simba Cletous Chama.

Mwakalebela alitoa kauli hiyo wakati akihojiwa na vyombo vya habari lakini badae baada ya klabu ya Simba kusema itamshtaki kingozi huyo wa zamani wa shirikisho la soka Tanzania(Tff) aliamua kuomba msamaha huku akikiri alikua anafanya utani.

Taarifa iliyotolewa na Tff kwa vyombo vya habari imeonyesha kuwa klabu hiyo imemshtaki Mwakalebela na Tff imeamua kulipeleka suala hilo katika kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ambako kesi hiyo itasikilizwa na kuamuliwa.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited