Home Soka Yanga sc Yamtema Lamine Moro

Yanga sc Yamtema Lamine Moro

by Sports Leo
0 comments

Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga sc  zinasema kwamba klabu hiyo imeachana na beki Lamine Moro kwa makubaliano ya pande mbili baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili.

Awali beki huyo alisaini mkataba wa nyongeza na kubakisha mwaka zaidi kati ya katika mkataba mpya lakini kocha Nasredine Nabi ameonekana kutoridhishwa na nidhamu ya beki huyo hivyo kuamua kuachana nae.

Lamine amekua akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara huku akidaiwa kutoendana na falsafa za kocha mpya kiasi cha kufungiwa mara kwa mara na klabu hiyo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited