Home Soka Yanga Yatua,Ndanda Kituo Kinachofuata

Yanga Yatua,Ndanda Kituo Kinachofuata

by Sports Leo
0 comments

Timu ya Yanga sc imerejea nchini baada ya kumaliza michuano ya kimataifa huku ikiondoshwa katika michuano hiyo baada ya kukosa nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.

Yanga wamerejea mchana huu na kesho wataingia kambini kujiandaa na mchezo huo wa ligi kuu utakaofanyika katika uwanja wa Nangwanda sijaona tarehe nane mwezi huu mjini Mtwara.

Awali kocha Mwinyi Zahera alishangaa ratiba hiyo baada kupata ratiba mchana wa leo walipofika nchini hali iliyomlazimu kubadili ratiba ya mapumziko na kufanya kesho wachezaji waingie kambini.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited