Senegal vs Morocco Fainali 1-0: Pape Gueye Azima Ndoto za Morocco na Kuwapa Senegal Ubingwa wa Kihistoria AFCON 2025 - sportsleo.co.tz

Senegal vs Morocco Fainali 1-0: Pape Gueye Azima Ndoto za Morocco na Kuwapa Senegal Ubingwa wa Kihistoria AFCON 2025

Usiku wa kuamkia leo, bara la Afrika limesimama kwa muda kushuhudia mtanange wa kukata na shoka uliopigwa katika dimba la Morocco. Mashabiki wa soka kote nchini Tanzania, kuanzia mitaa ya Kariakoo hadi kuta za “vibanda umiza” kule Mwanza na Mbeya, walikuwa na macho yao yote kwenye mchezo huu wa Senegal vs Morocco Fainali 1-0. Ilikuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks