Man Utd vs Arsenal ndoto za ubingwa za zimwa: 3-2 Mikel Arteta Ataharuki, Michael Carrick Azidi Kung’ara
Soka la Ligi Kuu ya Uingereza limeingia kwenye hatua ya sintofahamu kubwa baada ya mchezo wa kusisimua uliopigwa Emirates Stadium. Katika kile kinachoonekana kama pigo kubwa kwa mashabiki wa “Gunners” duniani kote na hususan hapa Tanzania, matokeo ya Man Utd vs Arsenal ndoto za ubingwa za zimwa yamekuwa gumzo kubwa mitaani. Arsenal, ambao walikuwa wakiongoza…
