Timu ya taifa ya wanawake ya Zanzibar Queens wamefungwa jumla ya magoli 5-0 na timu ya taifa ya Sudan kusini katika michuano ya Cecafa kwa wanawake inayoendelea nchini. Mchezo huo …
cecafa
-
-
Timu mbalimbali zimeanza kuwasili Tanzania kuelekea kwenye mashindano ya Cecafa kwa Wanawake yatakayoanza Novemba 16-25,2019 Dar es Salaam. Tayari timu za Burundi na Djibout zimetua jana Jumanne na kuelekea kwenye …
-
Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania (Ngorongoro Heroes) imetwaa ubingwa wa michuano ya kombe la chalenji kwa vijana iliyofanyika nchini Uganda baada ya kuifunga Kenya kwa bao 1-0 katika …
-
Timu ya vijana ya Tanzania Bara (Ngorongor Heroes) imefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Sudan katika michuano ya vijana ya Chalenji …
-
Timu ya soka ya vijana ya Tanzania(Ngorongoro) heroes imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya chalenji inayofanyika nchini Uganda baada ya kuwafunga wenyeji uganda kwa mabao 4-2 katika …
-
Timu ya soka ya KCCA kutoka nchini Uganda wamefanikiwa kuwa mabingwa wa michuano ya kombe la Kagame baada ya jana kuifunga timu ya Azm fc katika mchezo wa fainali uliochezwa …
-
Timu ya Yanga Sc imepokea mwaliko kutoka shirikisho la soka la Afrika mashariki na kati (cecafa) kushiriki katika mashindano ya kombe la kagame kwa mwaka 2019 yatakayofanyika nchini Rwanda. Katika …