Cole Palmer (10) Sifa Zake Ni Muunganiko wa Frank Lampard, Didier Drogba na Eden Hazard
Kila kizazi cha Chelsea kimekuwa na wachezaji wake wa kipekee, wale ambao majina yao yameandikwa kwa herufi za dhahabu katika historia ya Stamford Bridge Cole Palmer ameingia miongoni mwa majina hayo. Kutoka uwezo wa kipekee wa ufungaji mabao wa Frank Lampard, nguvu na uamuzi wa Didier Drogba katika mechi kubwa, hadi ubunifu na uchawi wa…
