Africa Mashariki yang'ara Global Encounters 2025! Tamasha lilofanyika Dubai - sportsleo.co.tz

Africa Mashariki yang’ara Global Encounters 2025! Tamasha lilofanyika Dubai

Africa Mashariki yang’ara Global Encounters 2025! Tamasha lilofanyika Dubai Zaidi ya wanamichezo 4,000 vijana kutoka zaidi ya nchi 50 walikusanyika Dubai kwa ajili ya Tamasha la Global Encounters 2025, tukio la michezo na utamaduni lililowaleta pamoja washiriki kutoka jamii ya Ismaili duniani. Miongoni mwa timu zilizong’ara kutoka Afrika Mashariki ni Kenya, Tanzania, na Uganda, ambao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks