Sadio Mane Kustaafu soka baada ya AFCON 2025
Macho ya wapenzi wa soka barani Afrika na duniani kote yalielekezwa katika uwanja wa michezo wa kimataifa ambapo miamba miwili ya soka, Senegal na Morocco, walichuana vikali kuwania taji la AFCON 2025. Katika mchezo huo wa kusisimua uliomalizika kwa Senegal kuibuka kidedea kwa bao 1-0, gumzo kubwa limekuwa si tu ubingwa huo, bali ni hatima…
