Klabu ya soka ya Singida Black Stars imeendelea kung’angania kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo Fc …
Namungo fc
-
-
Klabu ya Namungo Fc inasemekana iko mbioni kuachana na kocha Mwinyi Zahera ambapo sasa imeamua kutua kwa kocha Juma Mgunda kuionoa klabu hiyo katika ligi kuu ya Nbc sambamba na …
-
Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Namungo Fc Omary Kaya ameamua kujiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na vipigo mfululizo ambavyo timu hiyo imevipata msimu huu. Kaya ameandika barua ya kuachia …
-
Klabu ya Tabora United imeibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Namungo mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa leo Agosti 25,2024 katika uwanja wa Majaliwa ulioko wilaya ya …
-
Klabu ya Simba sc itawakosa mastaa wake Cletous Chama na Henock Inonga sambamba na mastaa wengine kama Saido Ntibanzokiza,Luis Miqquisone na Shomari Kapombe kutokana na majeraha katika mchezo wa ligi …
-
Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera amejiunga na Klabu ya Namungo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa mkataba ambao haujawekwa wazi akichukua nafasi ya Dennis …
-
Klabu ya Simba sc imeponea chupuchupu kukosa alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc baada ya kulazimika kusawazisha dakika za mwishoni mwa mchezo katika mchezo wa …
-
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally kuelekea mchezo wa Simba wa Ligi Kuu dhidi yq Namungo FC ametaja wachezaji ambao watakosekana katika mchezo huo. …
-
Klabu ya Simba sc kesho inatarajiwa kumalizia hasira kwa Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini utakaofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam majira ya …
-
Ni aibu baada ya klabu ya Azam Fc kukubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Namungo Fc katika uwanja wa nyumbani siku ya Ijumaa katika mchezo wa ligi kuu ya …