Kocha Salvatory Edward sasa rasmi amekabidhiwa kikosi timu ya Pamba Jiji ya Mwanza ambapo kwasasa atasaidiwa na kocha Henry Mkanwa baada ya mabosi wa timu hiyo kuamua kuachana na Kocha …
Pamba Jiji
-
-
Uongozi wa Klabu ya Pamba Jiji ya jijini Mwanza umefikia maamuzi ya kuachana na kocha wake mkuu Goran Kopunovic na msaidizi wake Henry Mkanwa kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika ligi …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Pamba Jiji katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Azam …
-
Mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini baina ya Azam Fc dhidi ya Pamba Jiji sasa utachezwa siku ya Jumamosi Septemba 14 badala ya Ijumaa Septemba 13 katika …
-
Mshambuliaji Erick Okutu raia wa Ghana amejiunga na klabu ya Pamba jiji akitokea Tabora United kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kumaliza mkataba na klabu yake hiyo ya zamani …
-
Klabu ya Pamba Jiji iliyopanda ligi kuu kuanzia msimu ujao imefanya maamuzi magumu ya kuachana na wachezaji wote sambamba na benchi la ufundi ambao wameipandisha timu hiyo katika ligi kuu …