Screenshot 20241218 142640 Instagram

Pamba Jiji Fc Yamvuta Bwalya

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Sc Rally Bwalya yupo mbioni kukamilisha dili ya kujiunga na klabu ya Pamba Jijini Fc ya jijini Mwanza kwa mkataba mfupi wa miezi sita. Mabosi wa Pamba Jiji Fcwl wanapambana kukamilisha dili hilo mapema na tayari wapo nchini Zambia wakimalizana na mabosi wa Napsa Stars ya nchini…

Soma Zaidi
images 2

Pamba Jiji Yarudi kwa Yondani

Beki kisiki wa zamani wa klabu za Simba sc na Yanga sc Kelvin Patrick Yondani amejiunga na klabu ya Pamba Jiji Fc yenye makao yake jijini Mwanza ili kuongeza nguvu kuelekea mechi za raundi ya pili ya ligi kuu nchini. Kocha Fred Felix Minziro ameona kuna umuhimu wa kumsajili mkongwe huyo ambaye alikua huru kutokana…

Soma Zaidi
Screenshot 20241122 182115 Instagram

Ateba Aimaliza Pamba Jiji Fc

Bao la penati dakika ya 23 la Lionel Ateba limeiwezesha klabu ya Simba Sc kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Klabu ya Pamba Jiji uliofanyika jioni ya leo katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini Mwanza. Ateba alifunga bao hilo baada ya kupokea pasi ya Awesu Awesu na beki wa Pamba Jiji…

Soma Zaidi
Screenshot 20241023 225614 Instagram

Tabora United Yainyuka Pamba Jiji

Hali imekua tete kwa klabu ya Pamba Jiji baada ya jioni ya leo kukubali kipigo cha 1-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora. Bao pekee la Ogochukwu Morice dakika ya 77 kwa penati liliimaliza Pamba Jiji ambao sasa imefikisha michezo…

Soma Zaidi
@eric okutu29 Mtambo wa Mabao ni Mwana TP LINDANDA Taarifa zaidi fuatillia WhatsApp Channel yetu AzimiolaMiamba2024 tplindanda

Pamba Jiji Yaanza Kazi

Mshambuliaji Erick Okutu raia wa Ghana amejiunga na klabu ya Pamba jiji akitokea Tabora United kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kumaliza mkataba na klabu yake hiyo ya zamani iliyompokea nchini msimu uliopita. Erick alifanikiwa kufunga mabao 7 msimu uliopita akiwa chini ya kocha Goran Kopunovic ambaye kwa sasa ni kocha wa Pamba Jiji…

Soma Zaidi
Hongera

Pamba Jiji Yaanza Upya

Klabu ya Pamba Jiji iliyopanda ligi kuu kuanzia msimu ujao imefanya maamuzi magumu ya kuachana na wachezaji wote sambamba na benchi la ufundi ambao wameipandisha timu hiyo katika ligi kuu kutoka katika ligi daraja la kwanza (Championship). Katika Taarifa iliyotolewa kwa umma inasema kwamba klabu hiyo imeachana na wachezaji sambamba na benchi la ufundi baada…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks